Mamlaka zinakimbizana na muda kutafuta nyambizi ya kibiashara iliyopotea siku ya Jumapili ikiwa na watu watano – waliokuwa wanakwenda kutazama mabaki ya meli iliyozama ya Titanic. Watu wawili ambao ...
Nyambizi ya jeshi la wanamaji nchini Indonesia iliyotoweka katika pwani ya mji wa Bali siku ya Jumatano imepatikana ikiwa imekatika vipande vitatu chini ya bahari , maafisa wamesema. Wanajeshi wote 53 ...
Kikosi cha ulinzi wa pwani cha Marekani kimesema waoakoji wanaoitafuta nyambizi ya utalii iliyotoweka karibu na mabaki ya meli Titanic wamegundua kelele za chini ya maji katika eneo la utafutaji siku ...
Kikosi cha ulinzi wa pwani cha Marekani kimesema watu wote 5 waliokuwemo kwenye nyambizi ya utalii iliyopotea karibu na Titanic wamekufa, yumkini papo hapo baada ya chombo hicho kulipuka katika kina ...
Watafiti wamegundua spishi mpya 38 katika maeneo mawili ya chini ya bahari karibu na Japani kwa kutumia nyambizi ya Shinkai 6500 inayoendeshwa na binadamu. Kundi la watafiti, wakiwemo wale kutoka ...
Dada wa Kiongozi Mkuu wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amelaani kuwasili kwa nyambizi ya Marekani inayoendeshwa kwa nishati ya nyuklia nchini Korea Kusini. Jana Jumanne, Kim Yo Jong alitoa taarifa ...
Taasisi ya Utafiti ya Ufaransa ya Unyonyaji wa Bahari (IFREMER) inatoa wito kwa Atalante, ambayo imeelekezwa kutoka kwa misheni yake ya sasa kufikia eneo hilo, katika Bahari ya Atlantiki ya Kaskazini, ...
Nchini Argentina, jeshi la wanamaji lilitangaza siku ya Alhamisi Novemba 30 kuwa halina matumaini ya kuwapata wakiwa hai wafanyakazi 44 wa nyambizi San Juan iliyotoweka katika pwani ya Patagonia tangu ...